Msaada wa kiroho

About us Photos Guest Book Blog KUKUA KIROHO

Ufanye nini Imani inapokuwa dhaifu, ushindi ama kupotea

'Ambao ndani yao, mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu' 2 Wakorintho 4:4 waefeso 6:10-17

                                                                                              Sura ya 1.

Fahamu ya kwamba chanzo cha upinzani ni Shetani-na simama imara! Mara nyingi watu hawajui kama ni Mungu au ni Shetani anayesababisha mambo mabaya yatokee. Hawa wanasema 'sawa, pengine Bwana anajaribu kunifundisha kitu fulani' aidha ktk magonjwa, matetemeko, na vifo. Mungu hawezi kukufanya wewe uteseke, hawezi kukuacha uteseke maana sio lengo lake. Mungu aliyekuwa ndani ya Kristo ndiye aliyekuwa akitenda kazi(yoh 14:10).

Kama Yesu anasababisha hayo yote yatokee basi ufalme wake umefitinika(marko 3:24-25. Kupambanua chanzo Ni rahisi kugundua mambo yanatokea wapi. Bwana Yesu mwenyewe alitofautisha kazi zake na za shetani katika yoh 10:10 Yoh 9:4 inasema, yoh 14:9,10(kama unataka kumwona Baba akitenda kazi, mwangalie Yesu) Ukikubali kuingia ktk neno la Mungu, utaoshwa mawazo yako kutokana na maneno uliyokuwa ukisikia, yaliyotokana na kili za binadamu zikijaribu kutatua matatizo ya kiroho (impossible).

Hebu fikiri kkulingana na neno la Mungu hata kama ulifundishwa maana tofauti ya Neno hilo na watu wegine. Acha kufuata mawazo ila jiulize 'Je, Neno la Mungu linasema nini? Zama ktk Neno Pia kasema, 'mkitenda dhambi mambo haya yote yatawapata'(Daniel 9:11, isaya 1:5,6) Mwinj, John Alex Dowie alisema 'dhambi ni mama wa magonjwa na shetani ni baba wa hayo' Neno lasema ktk warumi 3:23.. ... Majaribu ya Yesu hutupa picha kuwa shetani aliinunua dunia kutoka kwa adamu nakufanyika mungu wa dunia(2 kor 4:4, luka 4:5-8) Mbhubiri 1 aliwahi kusema 'DUNIA NA VYOTE VIIJAZAVYO HAVIKUWA CHINI YA MKONO WA SHETANI, ILA YEYE ALIDANGANYA TU' Hivyo hatuna haja ya kumruhusu shetani atutawale sasa, kwani hana haki ya kutawala kanisa, ama sisi tuliomwamini Bwana Yesu. Simama imara Jua yakuwa shetani huzuia majibu ya yale tuombayo kwani hapendi ufanikiwe(Daniel 10) hivyo hupaswi kukata tamamaa kwa kile ukimbacho. Shetani yupo kazini na unaweza kupoteza imani yako juu ya Mungu wako. Shughulika nae kama Waefeso 6:10-17

Sura ya pili

Insert descriptive text which supports the above header. Insert descriptive text which supports the above header.Insert descriptive text which supports the above header. Insert descriptive text which supports the above header.

Insert Another Sub Header Here